Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania autembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda leo tarehe 03 Septemba, 2024.  Mheshimiwa Mizengo Pinda yupo nchini Rwanda kuhudhuria Kongamano la Mfumo wa Chakula Afrika 2024 (Africa Food System Forum Summit 2024), akiwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Chakula na Kilimo la Rais.