Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej Gen. Richard Mutayoba Makanzo akitoa Maelezo kuhusu fursa za Uwekezaji wakati wa Kongamano la biashara kati ya Tanzania na Rwanda linalofanyika jijini Kigali