UBALOZI WAKABIDHI TSHIRT KWA CHAUKIRWA
Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda umekabidhi Tshirt 180 kwa Chama cha Ukuzaji na Usambazaji wa Kiswahili nchini Rwanda (CHAUKIRWA), Chuo Kikuu cha Rwanda, ikiwa ni jitihada za Ubalozi wa Tanzania…
Read MoreUbalozi wa Tanzania nchini Rwanda umekabidhi Tshirt 180 kwa Chama cha Ukuzaji na Usambazaji wa Kiswahili nchini Rwanda (CHAUKIRWA), Chuo Kikuu cha Rwanda, ikiwa ni jitihada za Ubalozi wa Tanzania…
Read MoreRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention…
Read MoreTimu ya Mpira wa Kikapu ya Wanawake washiriki mashindano ya Ligi ya Wanawake Barani Afrika yanayofanyika nchini kigali, Rwanda kuanzia tarehe 28 Oktoba hadi 05 November, 2023.
Read MoreBalozi wa Tanzania Nchini Rwanda, Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda tarehe 18 Oktoba, 2023.
Read MoreBalozi wa Tanzania Nchini Rwanda, Mheshimiwa Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka amewasili kituoni na tarehe 17 Oktoba, 2023 aliwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Clementine Mukeka, Katibu…
Read MoreMkutano wa Ujirani Mwema kati ya Mkoa wa Kagera, Tanzania na Jimbo la Mashariki Nchini Rwanda ukiendelea nchini Rwanda, sambamba na Mkutano huo umefanyika Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya…
Read MoreWanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Tanzania zimeshiriki michezo ya FEASSSA 2023 iliyofanyika nchini Rwanda. Michezo hiyo imehudhuriwa pia na washiriki kutoka nchi za Rwanda, Kenya na Uganda.
Read MoreUbalozi wa Tanzania Rwanda umeungana na Balozi nyingine za Nchi Wanachama wa SADC zilizopo Rwanda kufanya Usafi (Umuganda) katika Wilaya ya Kicukiro, Kijiji cha Kabeza.
Read More