Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mej. Jen. Richard Makanzo awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mh. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda tarehe 06 Aprili 2022.