Mhe. Kinana Ahudhuria Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda

  • Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama tawala barani Afrka. Kulia ni Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume. Katibu Mkuu wa CCM
  • Abdulrahman Kinana, akitoa salaam za shukrani kwa niaba ya vyama Vilivyoalikwa kwa Katibu Mkuu wa RPF wakati wa hafla hiyo. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana,
  • akiagana na Rais wa Uganda Yoweri Museven baada ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbali kwenye uwanja wa Amahoro, mjini Kigali, Rwanda. Katibu Mkuu wa CCM
  • Afrika Kusini Thabo Mbeki wakibadilishana mawazo kwenye Uwanja wakati wa maadhimisho hayo. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahma Kinana, akiwa na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa,
  • Uhuru Kenyatta Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akibadilishana mawazo na Rais
  • Mama Anna Mkapa na Rais Mstaafu wa Botswana Sir. Ketumile Masire wakati wa maadhimisho hayo. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Rais wa Kenya,
  • Mwenyekiti wa Mstaafu wa Burundi Pierre Buyoya na mke wa Buyoya wakati wa maadhimisho hayo. Picha zote na Edward Mpogolo wa Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM