Kamati ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa makubaliano mbalimbali ya tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Rwanda uliofanyika tarehe 29-30/03/2022. Ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Kati ya waliohudhuria ni  Mhe. Balozi Fatma Rajabu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki.