Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwasilisha ujumbe maalum wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mheshiwa Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda. Tarehe 31 Machi, 2022 Kigali Rwanda.